Yanga itakutana na wababe wa Simba Coastal Union, wakati Mwadui FC watapambana na Azam FC,mechi zote mbili zikipigwa Aprili 24 Ratiba ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la FA, imepangwa usiku wa ...