Abubakar Mbanje, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi, ameachiwa huru baada ya Mahakama Kuu kumwachia huru.